IN LOVING MEMORY OF

Brenda Palavi

BORN 24 JUL 2018

PLACE OF BIRTH

Busia , kenya
profile
DIED 14 JUN 2023

PLACE OF DEATH

Nairobi County, kenya

SHARE WITH YOUR FRIENDS & FAMILY

  • 7
  • 139
  • Published on: 13/07/2023
“May heaven's gate stand open for you.”

KUZALIWA
Marehemu Brenda Palavi, Alizaliwa Tarehe
14/7/2018 katika  Hospitali ya Mediheal,
Eldoret na  Baba yake Isaac Shikuku na
Mama yake Phelisters Sande akiwa na afya nzuri ya kupendeza.

WAKFU
Aliwekewa  Wakfu Tarehe 24/7/2018 na Pastor Christopher Kilasi Hill, PAG Eldoret.

MASOMO

Marehemu Brenda Palavi alianza masomo  yake katika shule ya Msingi ya  Brookfield Academy  akiwa Play Group
, Akaendelea Hadi PP1 ,Baadae akaamishwa mwaka huu Wa 2023 akapelekwa  shule ya Innercore Bethel Academy Hadi Pp2.Amemaliza Safari yake akiwa hapo.

UGONJWA
Marehemu Brenda Palavi aliugua Kwa muda mfupi.Alipelekwa katika Hospitali ya Mediheal Eastleigh lakini haikuwezekana.Baadaye alituacha,Mungu alimpenda zaidi na tumeiacha roho yake mikononi  mwa aliye muumba.

May Her Soul Rest In Eternal Peace!.

FUNERAL HOME

Mama Lucy Kibaki Funeral Home

CONTACT PERSON

Ian

CONTACT PERSON TEL NO

0741739714

FUNERAL SERVICE DATE & TIME

14/07/2023 @ 7:00 AM

FUNERAL SERVICE LOCATION

Busia

NAME OF CHURCH/MOSQUE/TEMPLE

PAG Upendo Church

BURIAL DATE & TIME

14/07/2023 @ 12:00 PM

BURIAL LOCATION

Busia

County

Busia

Community:

Where Empathy Finds Its Home

Memorial Fundraiser

SUPPORT

Brenda Palavi Family

Live Streaming

This link provides access to the late Brenda Palavi Streaming Event.